JEZI MPYA ZA YANGA 2022/2023

Klabu ya Yanga imetambulisha rasmi jezi zake mpya kwa ajili ya msimu wa 2022/23. Unatoa maksi ngapi kwa uzi huo mpya wa Yanga?